Thursday, June 14, 2012

Diamond afungua blog yake

msanii maarufu bongo ambaye ni celebrities wa bongo amefungua blog yake ambayo iyo blog atakuwa anaweka vitu ambavyo atakuwa anafanya pia amesema ''Mtz kuwa wa kwanza kufungua blog hii'' huyo ndio msanii wetu DIAMOND PLATNUMZ baby #halla

No comments:

Post a Comment