Monday, October 29, 2012

Diamond platnumz aja na ngoma yake mpyaa

leo ndio ile siku diamond platnumz ata Release ngoma yake mpya inayoitwa Nataka kulewa so stay tune on Clouds fm ni noumaaaa

R.I.P LEXA JULIUS

R.I.P Lexa julius msanii kutoka TZ pande za arachuga Lexa amepoteza maisha kwa kuchomwa na kisu na mtu asiye julikana na tym hii mtu mzima JCB anashikiliwa na polisi ka msaada maana pindi mtu mzuma LEXA anadanga waliachana kama dakika 5 ivi .......siku zote tunasema bwan alitoa na bwana alitwaa.......

Thursday, September 27, 2012

MH: JOSEPH MBILINYI AKA SUGU APATA MTOTO WA KIKE

Jana mh: joseph mbilinyi mbunge wa mbeya kupitia ukurasa wake wa facebook ,akionyesha furaha aliyonayoamejurisha umma kuwa amepata mtoto wakike aliempa jina la Sasha Desderia J. mbilinyi....... huyo ndio mh: Mbiinyi!!!!

Tuesday, September 25, 2012

Nicole Schezinger apata Bingo

Nicole Schezinger apiga show dakika 45 kwa Dollar M.1 na kupewa offer ya kupanda ndege first class iyo ndio Bingo ya Nicole.....!!!

COVER

Hii ndio Cover ya single mpya ya Rihana Diamonds inayotoka Jumatano

Recho aja na wimbo mpya

Msanii wa kike Recho anaetamba na kibao chake cha Upepo ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la NASHUKURU UMEREJE na uyo ndio Rechoo...!!